TAMISEMI QUEENS yapania kufanya vizuri ligi ya Netiboli mwaka huu 2021 jijini Arusha.

Timu ya netiboli ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ‘TAMISEMI QUEENS’ imejigamba kufanya vizuri katika michuano ya netiboli ligi daraja la kwanza iliyopangwa kufanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 18 hadi 29 julai 2021. Mwenyekiti wa Klabu ya Michezo ya TAMISEMI Philbert Rwakilomba amesema kuwa timu yake imejiandaa vizuri kwenye michuano